Thu Apr 27 2023 10:58:49 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 10:58:49 +03:00
parent b65e5e5696
commit ac5bde9a80
3 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
28/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Alitoa uzito wa dhahabu safi kwa ajili ya madhabahu ya uvumba, na za dhahabu kwa muundo wa gari, makerubi waliye tanda mabawa yao na kufunika sanduku la agano la Yahweh. \v 19 Daudi akasema, " Nimeweka haya katika maandishi kama Yahweh alivyonielekeza na kunipa kuelewa kuhusu mchoro."

1
28/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Daudi akasema kwa Sulemani mwanae, "Kuwa hodari na mjasiri. Fanya kazi. Usiogope au kufadhai, kwa kuwa Yahweh Mungu, Mungu wangu, yupo nawe. Hatakuacha wala kukutelekeza mpaka kazi ya huduma ya hekalu la Yahweh imekamilika. \v 21 Ona, hivi ni vitengo vya makuhani na Walawi kwa huduma katika hekalu la Mungu. Watakuwa nawe, pamoja na wanaume walio tayari na wenye ujuzi, kukusaidia katika kazi na kutenda huduma. Maafisa na watu wote wako tayari kufuata amri zako."

View File

@ -403,6 +403,9 @@
"28-08",
"28-09",
"28-11",
"28-13"
"28-13",
"28-16",
"28-18",
"28-20"
]
}