Thu Apr 27 2023 08:27:17 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 08:27:18 +03:00
parent ae4c2bb933
commit 9f02c64029
4 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
14/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Kisha Wafilisti wakavamia kwa mara nyingine tena. \v 14 Hivyo Daudi akaomba msaada kwa Mungu tena. Mungu akamwambia, " Usiwashambulie kwa mbele, lakini wazunguke kwa nyuma yao na uwajie kupitia misitu ya balisamu.

1
14/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Utakaposikia sauti ya wanajeshi wanatembea kwenye upepo uvumao kutoka juu ya miti ya balisamu, kisha shambulia kwa nguvu. Fanya hivyo kwasababu Mungu atakutangulia kwenda kuwashambulia majeshi ya wafilisti." \v 16 Hivyo Daudi alifanya kama Mungu alivyo muamuru. Aliwashinda jeshi la Wafilisti kutoka Gibeoni mpaka Gezeri. \v 17 Kisha umaarufu wa Daudi ukaenda katika nchi zote, na Yahweh akasababisha mataifa yote kumuhofia.

1
15/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 15

View File

@ -245,6 +245,8 @@
"14-01",
"14-03",
"14-08",
"14-10"
"14-10",
"14-13",
"14-15"
]
}