Thu Apr 27 2023 08:17:05 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 08:17:06 +03:00
parent 861c4ac7d4
commit 8dcd4acf14
4 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
12/38.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 38 Hawa wanajeshi wote, waliandaliwa kwa pambano, walikuja Hebroni na moyo wote ili kumfanya Daudi awe mfalme juu ya Israeli yote. Waisraeli wote waliosalia walikubali kumfanya Daudi mfalme pia. \v 39 Walikuwa pale na Daudi siku tatu, wakila na kunywa, kwa kuwa jamaa zao waliwapa mahitaji ya kwenda nayo. \v 40 Kwa kuongezea, wao walio kuwa karibu nao, kwa umbali wa Isakari na Zebuloni na Naftali, walileta mkate kwa punda, ngamia, nyumbu na fahali, na keki za tini, mvinyo, vishada vya zabibu kavu, divai, mafuta, ng'ombe na kondoo, kwa maana kulikwa na furaha katika Israeli

1
13/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 13 1 Daudi akashuriana na wakuu wa jeshi la maelfu na mamia, na kila kiongozi. 2 Daudi akasema kwa kusanyiko la Isaraeli, "Kama itakuwa vyema, na kama hii inatoka kwa Yahweh Mungu wetu, na tutume wajumbe kila sehemu kwa ndugu zetu walio baki maeneo yote ya Israeli, na kwa makuhani na Walawi walio kwenye miji yao. Waambiwe wakunje wajiunge nasi. 3 Na tulirudishe kwetu wenyewe sanduku la Mungu wetu; kwa maana hatukutafuta mapenzi yake katika siku za utawala Sauli." \v 4 Kusanyiko lote liliafiki kufanya haya yote, kwa kuwa yalionekana sawa machoni pa watu wote.

1
13/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 13

View File

@ -233,6 +233,8 @@
"12-29",
"12-32",
"12-34",
"12-36"
"12-36",
"12-38",
"13-title"
]
}