Thu Apr 27 2023 10:02:15 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
17681c6c47
commit
81313a159f
|
@ -1 +1 @@
|
|||
27 Kwa maneno ya Daudi ya mwisho Walawi walihesabiwa, miaka ishirini na kuendelea. 28 Wajibu wao ulikuwa kuwasaidia wazao wa Aruni katika utumishi wa nyumba ya Yahweh. Walikuwa washughulikie nyuani, vyumbani, utakasaji wa vitu vyote vya Yahweh, na kazi zingine katika utumishi wa nyumba ya Mungu. \v 29 Pia walishughulikia mkate wa uwepo, unga safi wa mbegu za sadaka, mikate kaki isiotiwa chachu, sadaka zilizookwa, sadaka ziliochanganywa na mafuta, na vipimo vyote vya kiasi na ukubwa wa vitu.
|
||||
\v 27 Kwa maneno ya Daudi ya mwisho Walawi walihesabiwa, miaka ishirini na kuendelea. \v 28 Wajibu wao ulikuwa kuwasaidia wazao wa Aruni katika utumishi wa nyumba ya Yahweh. Walikuwa washughulikie nyuani, vyumbani, utakasaji wa vitu vyote vya Yahweh, na kazi zingine katika utumishi wa nyumba ya Mungu. \v 29 Pia walishughulikia mkate wa uwepo, unga safi wa mbegu za sadaka, mikate kaki isiotiwa chachu, sadaka zilizookwa, sadaka ziliochanganywa na mafuta, na vipimo vyote vya kiasi na ukubwa wa vitu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 30 Pia walisimama kila asubui kumshukuru na kumsifu Yahweh. Pia walifanya hivi jioni \v 31 na kila wakati sadaka ya kuteketezwa ilipo tolewa kwa Yahweh, siku ya Sabato na sherehe za mwezi mpya na siku za maakuli. Idadi maalumu, iliyo tolewa kwa amri, siku zote ilibidi iwepo mbele ya Yahweh.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 32 Walikuwa viongozi wa hema la kukutania, patakatifu, na kuwasaidia jamaa zao wa uzao wa Aruni katika utumishi wa nyumba ya Yahweh.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 24
|
|
@ -343,6 +343,9 @@
|
|||
"23-15",
|
||||
"23-19",
|
||||
"23-21",
|
||||
"23-24"
|
||||
"23-24",
|
||||
"23-27",
|
||||
"23-30",
|
||||
"23-32"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue