Thu Apr 27 2023 02:31:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 02:31:23 +03:00
parent 611db37d59
commit 6332713a14
5 changed files with 8 additions and 1 deletions

1
10/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Wakati Yabeshi Gileadi yote ilipo sikia Wafilisti waliyo mtendea Sauli, \v 12 wanaume wote wa vita wakaenda na kuchukuwa mwili wa Sauli na hiyo ya wanae, na kuirejesha Yabeshi. Walizika mifupa yao chini ya mti huko Yabeshi na wakafunga siku saba.

1
10/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Hivyo Sauli akafa kwa kuwa hakuwa mwaminifu kwa Yahweh. Hakutii maelekezo ya Yahweh, lakini akauliza ushauri kwa mtu anaye ongea na wafu. \v 14 Hakutafuta mwongozo kwa Yahweh, hivyo Yahweh akamua na kupindua ufalme kwa Daudi mwana wa Yese.

1
11/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 11 1 Kisha Waisraeli wote walikuja Hebroni kwa Daudi na kusema, "Angalia, sisi ni nyama na mifupa yako. 2 Katika wakati uliopita, Sauli alipoo kuwa mfalme juu yetu, ni wewe uliye ongoza jeshi la Israeli. Yahweh Mungu wako alisema kwako, 'utawachunga watu wangu wa Isaraeli, na utakuwa mtawala wa watu wangu wa Israeli"'. 3 Kwaiyo wazee wote wa Israeli wakamjia mfalme huko Hebroni, na Daudi akafanya agano nao mbele ya Yahweh. Wakampaka mafuta Daudi kuwa mfalme wa Israeli. Kwa namna hii, neno la Yahweh lilo nenwa na Samweli likawa kweli.

1
11/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 11

View File

@ -197,6 +197,9 @@
"10-04",
"10-05",
"10-07",
"10-09"
"10-09",
"10-11",
"10-13",
"11-title"
]
}