Thu Apr 27 2023 01:06:09 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 01:06:09 +03:00
parent 489dd83c4f
commit 504f0da276
3 changed files with 6 additions and 1 deletions

1
05/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Wana wa nusu ya kabila la Manase waliishi katika nchi ya Bashani kwa umbali wa Bali Hermoni na Seniri (hiyo ni, Mlima Hermoni). \v 24 Hawa walikuwa viongozi wa koo zao: Eferi, Ishi, Elieli, Azrieli, Yeremia, Hodavia, na Yahdieli. Walikuwa mashujaa hodari,wanaume mashuhuri, viongozi wa familia zao.

1
05/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Lakini walikuwa sio waaminifu kwa Mungu wa babu zao. Walifanya uzinzi na miungu ya watu wa hiyo nchi, ambao Mungu aliwaangamiza mbele yao. \v 26 Mungu wa Israeli akamchochea Puli mfalme wa Assiria ( ambaye pia uitwa Tiligathi Pileseri, mfalme wa Assiria). Aliwapeleka matekani Warubeni, Wagadi, na nusu ya kabila la Manase. Aliwaleta kwa Hala, Habori, Hara, na kwenye mto wa Gozani, ambapo wapo hadi leo.

View File

@ -112,6 +112,9 @@
"05-14",
"05-16",
"05-18",
"05-20"
"05-20",
"05-23",
"05-25",
"06-title"
]
}