Thu Apr 27 2023 09:25:41 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 09:25:41 +03:00
parent 5ba30a654f
commit 50152b20cf
4 changed files with 7 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
16 Waaremi walipoona kwamba wameshindwa na Waisraeli, wakatuma wajumbe na kuwarudisha Waaremi kutoka ng'ambo ya Mto Frati, na Shofaki mkuu wajeshi la Hadadezeri. 17 Daudi alipo ambiwa haya, akakusanya Israeli yote, akuvuka Yordani, na kuja juu yao. Alipanga jeshi kwa ajili ya pambano dhidi ya Waaremi, nawakapigana nao.
\v 16 Waaremi walipoona kwamba wameshindwa na Waisraeli, wakatuma wajumbe na kuwarudisha Waaremi kutoka ng'ambo ya Mto Frati, na Shofaki mkuu wajeshi la Hadadezeri. \v 17 Daudi alipo ambiwa haya, akakusanya Israeli yote, akuvuka Yordani, na kuja juu yao. Alipanga jeshi kwa ajili ya pambano dhidi ya Waaremi, na wakapigana nao.

1
19/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Waaremi waliwakimbia Waisraeli, na Daudi akaua waendesha magari ya farasi ya Waaremi elfu saba na wanajeshi wa miguu elfu arobaini. Pia alimuua Shopaki, mkuu wa jeshi. \v 19 Wafalme wote walio kuwa watumishi wa Hadadezeri walipoona kuwa wameshindwa na Israeli, walifanya amani na Daudi na kumtumikia. Hivyo watu wa Aramu hawakuwa tayari kuwasaidia Waamoni.

1
20/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 20

View File

@ -304,6 +304,9 @@
"19-08",
"19-10",
"19-12",
"19-14"
"19-14",
"19-16",
"19-18",
"20-title"
]
}