Thu Apr 27 2023 09:42:09 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 09:42:10 +03:00
parent f91e73b4ba
commit 3ab179fff6
4 changed files with 6 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
28 Daudi alipo ona kuwa Yahweh amemjibu kwenye eneo la kupeta la Orinani Myebusi, alitoa dhabihu pale pale kwa wakati huo. 29 Sasa kwa wakati huo, hema la kuabudia la Yahweh, ambalo Musa alilitengeneza nyikani, na madhabahu ya sadaka za kuteketezwa, zilikuwa sehemu ya juu huko Gibeoni. 30 Walakini, Daudi hakuweza kwenda huko kumuliza Mungu muelekeo, kwa kuwa alikuwa anaogopa upanga wa malaika wa Yahweh.
\v 28 Daudi alipo ona kuwa Yahweh amemjibu kwenye eneo la kupeta la Orinani Myebusi, alitoa dhabihu pale pale kwa wakati huo. \v 29 Sasa kwa wakati huo, hema la kuabudia la Yahweh, ambalo Musa alilitengeneza nyikani, na madhabahu ya sadaka za kuteketezwa, zilikuwa sehemu ya juu huko Gibeoni. \v 30 Walakini, Daudi hakuweza kwenda huko kumuliza Mungu muelekeo, kwa kuwa alikuwa anaogopa upanga wa malaika wa Yahweh.

1
22/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 22 1 Kisha Daudi akasema, "Hapo ndipo nyumba ya Yahweh Mungu itakuwepo, na madhabahu ya sadaka za kuteketezwa za Israeli." 2 Hivyo Daudi akaagiza watumishi wake wawakusanye pamoja wageni wote wanao ishi katika nchi ya Israeli. Aliwapangia kuwa wachonga mawe, kuchonga matofali ya mawe, ilikuweza kujenga nyumba ya Mungu. 3 Daudi alisambaza idadi

1
22/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 22

View File

@ -323,6 +323,8 @@
"21-18",
"21-21",
"21-23",
"21-25"
"21-25",
"21-28",
"22-title"
]
}