Thu Apr 27 2023 09:17:40 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 09:17:40 +03:00
parent f6cd89bb8c
commit 31aa30f17c
4 changed files with 7 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
12 Abishai mwana wa Zeruia akawaua Waedomi elfu kumi na nane katika Bonde la Chumvi. \v 13 Alieka vikosi huko Edomu, na Waedomi wote wakawa watumishi wa Daudi. Yahweh alimpa Daudi ushindi pote alipoenda.
\v 12 Abishai mwana wa Zeruia akawaua Waedomi elfu kumi na nane katika Bonde la Chumvi. \v 13 Alieka vikosi huko Edomu, na Waedomi wote wakawa watumishi wa Daudi. Yahweh alimpa Daudi ushindi pote alipoenda.

1
18/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Daudi alitawala Israeli yote, na alitoa haki na uadilifu kwa watu wote. \v 15 Yoabu mwana wa Zeruia alikuwa mkuu wa jeshi, na Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mtunza kumbukumbu. \v 16 Zadoki mwana wa Ahitubi na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani, na Shavisha alikuwa mwandishi. \v 17 Benaia mwana wa Yehoiada alikuwa kiongozi wa Wakerethi na Wapelethi, na wana wa Daudi walikuwa maofisa wakuu mkononi mwa mfalme.

1
19/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 19

View File

@ -294,6 +294,9 @@
"18-03",
"18-05",
"18-07",
"18-09"
"18-09",
"18-12",
"18-14",
"19-title"
]
}