Thu Apr 27 2023 08:21:08 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 08:21:08 +03:00
parent 659c57673e
commit 1cb1b9f879
4 changed files with 7 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
7 Kwa hiyo wakaliweka sanduku la Mungu juu ya mkokoteni mpya. Wakalilitoa nje ya nyumba ya Abinadabu. Uza na Ahio walikuwa wakiongoza mkokoteni.\v 8 Daudi na Israeli yote walikuwa wakishangilia mbele za Mungu kwa nguvu zao zote. Walikuwa wakiimba kwa vinubi, na vinanda, matari, upatu, na tarumbeta.
\v 7 Kwa hiyo wakaliweka sanduku la Mungu juu ya mkokoteni mpya. Wakalilitoa nje ya nyumba ya Abinadabu. Uza na Ahio walikuwa wakiongoza mkokoteni. \v 8 Daudi na Israeli yote walikuwa wakishangilia mbele za Mungu kwa nguvu zao zote. Walikuwa wakiimba kwa vinubi, na vinanda, matari, upatu, na tarumbeta.

1
13/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Walipo kuja eneo la kupepeta mazao huko Kidoni, Uza alinyoosha mkono wake ili kukamata sanduku kwa sababu ng'ombe walijikwa. \v 10 Hasira ya Yahweh ikawaka juu ya Uza, na Yahweh akamua kwa sababu Uza alishika na mkono wake sanduku. Akafa pale mbele za Mungu. \v 11 Daudi alipatwa na hasira kwa kuwa Yahweh alimshambulia Uza. Hiyo sehemu inaitwa Perezi Uza hadi leo.

1
13/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Daudi alimuogopa Mungu hiyo siku. Akasema, "Nawezaje kuleta sanduku la Mungu nyumbani mwangu?" \v 13 Kwa hiyo Daudi hakuleta sanduku kwenye mji wa Daudi, lakini aliweka pembeni mwa nyumba ya Obedi Edomu Mgiti. \v 14 Sanduku la Mungu lilibaki nyumbani mwa Obedi Edomu kwa miezi mitatu. Kwaiyo Yahweh akabariki nyumba yake na yote aliyo miliki.

View File

@ -237,6 +237,9 @@
"12-38",
"13-title",
"13-01",
"13-05"
"13-05",
"13-07",
"13-09",
"13-12"
]
}