Thu Apr 27 2023 09:52:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 09:52:15 +03:00
parent bdda99eb9c
commit 0d043bdc3b
5 changed files with 8 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
17 Daudi akawaagiza viongozi wote Waisraeli wamsaidie Sulemani mwanae, akisema, 18 "Yahweh Mungu wenu yupo nanyi na amewapa amani kila pande.Amewakabidhi mikononi mwangu wenyeji wote mkoa. Mkoa umetiishwa mbele za Yahweh na watu wake. 19 Sasa mtafuteni Yahweh Mungu wenu kwa moyo wenu wote na nafsi. Simameni na mjenge sehemu takatifu ya Yahweh Mungu. Kisha mwaweza kuleta sanduku la agano la Yahweh na vitu vya Mungu ndani ya nyumba iliyo jengwa kwa ajili ya jina la Yahweh.
\v 17 Daudi akawaagiza viongozi wote Waisraeli wamsaidie Sulemani mwanae, akisema, \v 18 "Yahweh Mungu wenu yupo nanyi na amewapa amani kila pande.Amewakabidhi mikononi mwangu wenyeji wote mkoa. Mkoa umetiishwa mbele za Yahweh na watu wake. \v 19 Sasa mtafuteni Yahweh Mungu wenu kwa moyo wenu wote na nafsi. Simameni na mjenge sehemu takatifu ya Yahweh Mungu. Kisha mwaweza kuleta sanduku la agano la Yahweh na vitu vya Mungu ndani ya nyumba iliyo jengwa kwa ajili ya jina la Yahweh.

1
23/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 23 \v 1 Daudi alipokuwa mzee na kukaribia mwisho wa maisha yake, alimfanya Sulemani mwanae mfalme juu ya Israeli. \v 2 Aliwakusanya pamoja viongozi wote wa Israeli, na makuhani na Walawi. \v 3 Walawi walio kuwa miaka thelathini na zaidi walihesabiwa, na idadi yao ikawa elfu thelathini na nane.

1
23/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
4 Kwa hawa, elfu ishirini na nne walikuwa kusimamia kazi ya nyumba ya Yahweh, na elfu sita walikuwa maaskari na waamuzi. 5 Elfu nne walikuwa walinzi wa lango, na elfu nne walikuwa wamsifu Yahweh na vyombo nilivyo vitengeneza vya kusifu." Daudi akasema. \v 6 Akawatenganisha kwenye vikundi kulingana na wana wa Lawi: Gerishoni, Kohathi, na Merari.

1
23/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 23

View File

@ -332,6 +332,9 @@
"22-09",
"22-11",
"22-14",
"22-15"
"22-15",
"22-17",
"23-title",
"23-01"
]
}