sw_eph_text_ulb/04/25.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 25 Kwa hiyo, weka mbali udanganyifu. "Ongeeni ukweli, kila mmoja na jirani yake," kwa sababu tu washirika kwa kila mmoja kwa mwenzake. \v 26 Mwe na hasira, lakini msitende dhambi." Jua lisizame mkiwa katika hasira zenu. \v 27 Msimpe Ibilisi nafasi.