sw_eph_text_ulb/04/23.txt

1 line
192 B
Plaintext

\v 23 Vueni utu wenu wa zamani ili kwamba mfanywe upya katika roho ya akili zenu. \v 24 Fanyeni hivi ili muweze kuvaa utu mpya, unaoendana na Mungu. Umeumbwa katika haki na utakatifu wa kweli.