sw_eph_text_ulb/04/20.txt

1 line
328 B
Plaintext

\v 20 Lakini, hivi sivyo mlivyojifunza kuhusu Kristo. \v 21 Nadhani kwamba mmesikia kuhusu yeye. Nadhani kwamba mmekuwa mkifundishwa katika yeye, kama tu ukweli ulivyo ndani ya Yesu. \v 22 Lazima mvue mambo yote yanayoendana na mwenendo wenu wa zamani, utu wa zamani. Ni utu wa zamani unaooza kwa sababu ya tamaa za udanganyifu.