sw_eph_text_ulb/04/09.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 9 Ni nini maana ya, "Alipaa," isipokuwa kwamba alishuka pia pande za chini za dunia? \v 10 Yeye ambaye alishuka ni mtu yuleyule ambae pia alipaa mbali juu ya mbingu zote. Alifanya hivi ili uwepo wake uwe katika vitu vyote.