sw_eph_text_ulb/04/07.txt

1 line
192 B
Plaintext

\v 7 Kwa kila mmoja wetu amepewa kipawa kulingana na kipimo cha kipawa cha Kristo. \v 8 Ni kama maandiko yasemavyo: "Alipopaa juu sana, aliongoza mateka katika utumwa. Akatoa vipawa kwa watu."