sw_eph_text_ulb/04/01.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 1 Kwa hiyo, kama mfungwa kwa ajili ya Bwana, nawasihi mtembee sawasawa na wito ambao Mungu aliwaita. \v 2 Muishi kwa unyenyekevu mkuu na upole na uvumilivu. Mkichukuliana katika upendo. \v 3 Fanyeni bidii kuutunza umoja wa Roho katika kifungo cha amani.