1 line
417 B
Plaintext
1 line
417 B
Plaintext
\v 7 Wakati Jesu arihogundua jinsi ara mariokala kwamba watsagulo vihi vya heshim, achiwaambira mfano, achiwaambira. \v 8 Wakati mnahaolikwa na mtu harusini usisagarire nafasi za heshim, kwa sababu inawezekana adzialikwa mtu ambaye ni wakuheshimiwa zaidi kuriko uwe. \v 9 Wakati mtu areyealika niniw airi achifika, andakwaambira uwe, ‘mhise mtu yuyu nafasi iyo’ na kisha kwa aibu undaanza kuhala nafasi ya mwisho. |