rof_tit_text_reg/01/01.txt

1 line
369 B
Plaintext

\c 1 \v 1 Paulo, msaidizi wa Ruva na mduve wa yessu kristu kwa imani ya wachagua na Ruwa ya maarifa ya loyi iendayo utawa. \v 2 Vekeri katika matumaini ki uzima wa milele ambayo Ruva atilima iyomba uongo aleduahidi mlele. \v 3 Kwa muda mwavaka alelishakwa machecha yakwa katika mambo uleningiya nyani kuhubiri. Ilelazimu ngifanye ado kwa amri ya Ruva mwangoso wadu.