\v 3 Mtarunde kwa ubinafsi na majivuno ku. Rundeni kwa unyenyefiu mlolie vengi kuwa ni vesha zaidi yenu. \v 4 Kila umu atasakwe tiki mahitaji yakwe emoni,bali apia ajali na mahitaji ya vengi.