rof_jud_text_reg/01/17.txt

1 line
299 B
Plaintext

\v 17 Lakini nyo, vapenzi, kumbueni machecha ambayo alechechwa kasha na mtume wa Bwana Yesu Kristo. \v 18 Valeamba kwenu, katika wakati ula uletiika kwera vandu vedaala ambao vefata tamaa zavo zizizo za kitauwa. \v 19 Vandu vahava watenganishaji,na vetavaliwa na tamaa za asili nanga vere moo ku.