rof_jud_text_reg/01/03.txt

1 line
445 B
Plaintext

\v 3 Vapenzi, wakati nikeri ngirunda ngibirikana ikuandikieni nyohonyo ihusu wokovu wedu voose, ilenlasimu ngivaandikie kwa ajili yevashauri, ili shindanie kwa uaminifu imani ya ilekabisiwa maralimu kwa vaumini. \v 4 Kwa sababu vandu fulani valejiingiza kwa siri kiidikwenu, vandu ambao valekabwa alama kwa ajili ya hukumu-vandu vetekeri watauwa ambao valeilasha neema ya Ruva wedu iva ufisadi, na imliyaa Bwana wedu eveni na Bwana Yesu Kristo.