|
\v 5 Kwa maana duletumia maneno yejipendekesa wakati wooseku, shaali muishi, wala uletumia machecha sha ksingisio kwa tamaa, Ruva ni mshahidi wedu. \v 6 Wala duletafuta utukufu kwa vanduku, wala ifuma kwenu au kwa vengi. Duvedima idai ipelelezwa sha mtume wa Kristo. |