ngo_rom_text_reg/13/08.txt

1 line
386 B
Plaintext

\v 8 Msidaiwe na mundu kilivi chochote isipokuwa kupendana ninyi kwa ninyi kwakuvyegha vena ampendae jilani ghake atimise sheria. \v 10 Kwakuvyegha hautazini hautakukoma hautakujiva hautatamani na kama kuvyegha na amri njingi pia imejumuisha katika sentensi hii napalai jilani yako kama wenga wamwenye. \v 9 Upendo hamdhuru jilani wa mundo kwakuvyegha upendo ni ukamilifu wa sheria.