ngo_rom_text_reg/11/30.txt

1 line
341 B
Plaintext

\v 30 Kwa kiviyega awali ninyi mlikuwa mmemwasi chapanga lakini sasa mmeipokea rehema kwa sababu ya kuasi kwao. \v 31 Kwa ndela iyo hiyo sasa hawa wayaudi wameasi matokeo yake ni kwamba kuhuma na huruma mliyojaliwa ninyi mana weza pia kutokea rehema. \v 32 Maana chapanga awadindile ghando wote katika uasi ili aweze kuwa hurumia voha.