ngo_rom_text_reg/04/11.txt

1 line
484 B
Plaintext

\v 11 Abrahamu akopokiri alama ya kutahiriwa ogho ukavi muhuri wa yera haki ya imani yakavinayu tayari kabla hajatahiriwa .Matokeo ya ishara hii ni kwamba alifanyika kuwa tati wa woha waaminio hala kama wapo katika kukolahiriwa . Hii ina maana kwamba haki itahesabiwa kwa veni. \v 12 Hii pia ilimaanisha kuwa Abrahamu alifanyika tati watohara sifu kwa wara wanao tokana na tohara bali pia wara wanaozifuata nyayo za tati witu Abrahamu. Na eye ndiyo imani ya vinayu kwa wasiotahiriwa.