ngo_rom_text_reg/02/05.txt

1 line
305 B
Plaintext
Raw Normal View History

Bali kwa kadili ya kunonapa kwaki na kwa moyo waki wanganatoba wajiwekea vena akiba ya ghadhabu yaani siku ileya ufumuo wa hukumu ya haki ya chapanga. Yweni andannepa kila muundu kipimo sawa na matendo ghaki. Kwa war ambao kwa uthabiti wa miharu yamaha waparihi sifa heshima na kutokuharibika andawape