ngo_php_text_reg/03/08.txt

1 line
573 B
Plaintext

\v 8 Kwa kweli, ninjabili mihalo yoha kuvyegha hasara kuvuka ubora wa kummanya wa kristo yesu bwana wangu kwa ajili yaki nilekite mihalo yaha , ninjibili kama takataka ili nimpati kristo. \v 9 Na monikana nkati yake sina haki yangu binafsi kuvuka katika sheria bali minayo haki yirayiyi patikana kwa imani katika kristo ihama kwa chapanga, yenye msingi katika imani. \v 10 Hnaa nipara kumanya ywene na likakara ya ufufuo waki na ushirika wa mateso yake nipara kumadilisha na kristo katika mfano wa kifo chaki,. \v 11 Angalau niwese kuwa matumaini katika ufufuo wa wafu.