mgz_luk_text_reg/04/38.txt

1 line
274 B
Plaintext

\v 38 Kisha Yesu akaferenka katika mji owoo na akingera katika nyomba ya Simoni. Sasa mokwi wachw na Simoni nemolwaye ase homa mwapombu, na vakamosihi kwa niaba yachwe. \v 39 Hivyo Yesu akamosesera, akaefombera era homa na ekamorekeva. Ghafla akeema na akaanza ovatumikia.