mgz_luk_text_reg/19/20.txt

1 line
212 B
Plaintext

\v 20 N amwingine akaja akasema," Bwna hii hapa fedha yako, ambayo niilihifadhi salama katika kitambaa, \v 21 kwa maana niliogopa kwasababu wee ni mtu mkali. Unaondoa kile usichokiweka na kuvuna usivchopanda,