mgz_luk_text_reg/01/80.txt

1 line
118 B
Plaintext

\v 80 Ssa, yule mwana akakua na kuwa mwenye nguvu rohoni na alikaa nyikani mpaka siku ya kujitokeza kwake kwa Israeli.