Wed Nov 20 2024 15:22:07 GMT-0800 (Pacific Standard Time)

This commit is contained in:
easterntz_wa 2024-11-20 15:22:08 -08:00
parent 5ed4a42af7
commit 8a0cff0b9f
4 changed files with 6 additions and 0 deletions

1
09/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Kama asemavyo pia katika Hosea: "Nitawaita watu wangu ambao hawakuwa watu wangu, na mpendwa wake ambaye hakupendwa. \v 26 Na itakuwa kwamba pale iliposemwa kwao, 'Ninyi si watu wangu,' pale wataitwa 'wana wa Mungu aliye hai."'

1
09/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Isaya analia kuhusiana na Israeli, "Kama hesabu ya wana wa Israeli ingekuwa kama mchanga wa bahari, itakuwa ni masalia ambao wataokolewa. \v 28 Kwa kuwa Bwana atalichukua neno lake juu ya nchi, mapema na kwa utimilifu. \v 29 Na kama jinsi Isaya alivyosema awali, "Kama Bwana wa majeshi hakutuachia nyuma uzao kwa ajili yetu, tungekuwa kama Sodoma, na tungefanywa kama Gomora.

1
09/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Tutasema nini basi? kwamba watu wa Mataifa ambao walikuwa hawatafuti haki, walipata haki, haki kwa imani. \v 31 Lakini Israeli, ambaye alitafuta sheria ya haki, hakuifikia.

View File

@ -157,6 +157,9 @@
"09-17",
"09-19",
"09-22",
"09-25",
"09-27",
"09-30",
"10-title",
"10-01",
"10-04",