doe_act_text_reg/18/01.txt

1 line
396 B
Plaintext

\c 18 \v 1 Baada ya mbuli zino, Pauli kahalawa Athene kwita Kolintho. \v 2 Huko akampantha Myahudi kotangigwa Akwila munthu wa kabila da Ponto, yeye na mkake kotangigwa Plisila weza ulawa huko Italia, kwa sababu Klaudia aliamulu Wayahudi wose wahalawe Roma; Pauli akeza kumwao; \v 3 Pauli akaishi na kutenda kazi nao kwani yeye kotenda kazi yofanana na yao. Wao wakala ni watengeneza mahema.