doe_act_text_reg/14/11.txt

1 line
393 B
Plaintext

\v 11 Umati uonile akitendile Pauli, wainula lwangi zao, wakilonga muna lahaja ya Kilikaonio, ''milungu ichishukila kwa namna ya binadamu.'' \v 12 Wamtanga Balnaba ''Zeu,'' na Pauli ''Helme'' kwa sababu kakala mlongaji mkulu. \v 13 Kuhani wa Zeu, ambae hekalu dyake dikala kunze ya mji, kagala fahali da ng'ombe na mtungo wa maua mpaka mui lango da mji,yeye na umati walonda kulava sadaka.