doe_act_text_reg/13/19.txt

1 line
247 B
Plaintext

\v 19 Baada ya kuyabananga mataifa saba muna nchi ya Kanani, kawenkha wanthu wetu nchi yao kwa ulisi. \v 20 Matukio yano yose yalawila zaidi ya miaka mia nne na hamsini. Baada ya vinthu vino vyose, Mulungu kawenkha waamuzi mpaka Samweli Mlotezi.