doe_act_text_reg/11/25.txt

1 line
236 B
Plaintext

\v 25 Baadaye Balnaba kaita Talso kumlola Sauli. \v 26 Ampatile, akamgala Antiokia. Ikawa kwa mwaka mgima wakakusanyika hamwe na kanisa na kuwafundisha wanthu wengi. Na wanahina wakatangigwa wakilisito kwa mala yakwanza huko Antiokia.