doe_act_text_reg/27/07.txt

1 line
359 B
Plaintext

\v 7 Baada ya kuwa chita lugaluga kwa siku nyingi na hatimaye tukawa chifika kwa taabu haguhi na Kinidas, mbeho hauchiluhusile kaidi kwita nzila hiyo, hivyo chikaita hankhanda ya kivuli cha Klete chikiukinga upepo, mkabala na Salmone. \v 8 Chikaita hankhanda ya pwani kwa udala, mpaka chikafika hanthu patangigwe Fali Haveni ambayo ya haguhi na mji wa Lasi.