doe_act_text_reg/27/01.txt

1 line
369 B
Plaintext

\c 27 \v 1 Ahoiamuligwe kwamba cholondigwa tusafili kwa mazi kwita Italia, walimkabidhi Pauli na wafungigwa wamwenga kwa afisa wa jeshi da Kiloma atangigwe Julio, wa Kikosi cha Agustani. \v 2 Chikakwela meli kulawa Adlamitamu, ambayo ikala ikiita hankhanda ya pwani ya Asia. Hivyo chikaingila muibahali. Alistaka kulawa Thesolanike ya Makedonia akaita hamwe nacheye.