doe_act_text_reg/25/06.txt

1 line
413 B
Plaintext

\v 6 Baada ya kukala siku nane au kumi zaidi, akabwela Kaisalia. Na siku iinzile akakala muna kinthi cha hukumu na kuamulu Pauli agaligwe kumwake. \v 7 Afikile, Wayahudi kulawa Yelusalemu wakatimalala haguhi, Wakalava mashitaka mengi mazito ambayo hawadahil kuyathibitisha. \v 8 Pauli kajitetela na kulonga, 'Si dhidi ya zina da Wayahudi, si kuchanya ya hekalu, na si kuchanya ya Kaisalia, nimetenda yehile.'