doe_act_text_reg/19/01.txt

1 line
287 B
Plaintext

\c 19 \v 1 Ikawa kwamba Apolo akalile Kolintho, Pauli akafosa nyanda za kuchanya na kufika mji wa Efeso, na akatinkha wanahina kadhaa huko. \v 2 Pauli akawalongela, ''Je, muhokela Roho Mtakatifu ahomuaminile?" Wakamlongela, ''Hapana, hachidahile hata kuhulika kuhusu Roho Mtakatfu.''