doe_act_text_reg/16/01.txt

1 line
388 B
Plaintext

\c 16 \v 1 Pauli pia ezile Delbe na Lystla; na lola, hadya pakala na mwanahina kotangigwa Timotheo, ni Mbwanga aelekigwe na mama wa Kiyahudi ambaye ni muumini na tati yake ni Mgiliki. \v 2 Wanthu wa Lisla na Ikonia wamshuhudila goya. \v 3 Pauli kamlonda ili aite naye, hivyo akamsola na kumgelasuna kwa sababu ya Wayahudi wakalile uko kwani wose wammanya kuwa tati yake ni Mgiliki.