doe_act_text_reg/05/35.txt

1 line
490 B
Plaintext

\v 35 Kamala akawalongela, ''Wanawalume wa Isilaili, iweni makini nkhani na kila mochipendekeza kuwatendila wanthu wano. \v 36 Kwa sababu, umwaka zifosile, Theuda aliinuka na kujidai kuwa munthu mkulu, na idadi ya wanthu, wapantha mia nne wakamkola. Kakomigwa, na wose wakalile womtii walitawanyika na kwaga. \v 37 Baada ya munthu yuno, Yuda mgalilaya, aliinuka siku zila za kuandikiigwa sensa, akavuta wanthu wengi nyuma mmwake. Naye pia akaga na wose wakalile wakimtii walitawanyika.