\v 21 ya Pauli kukamilisha huduma yankhe kudya Efeso, Roho akamwongoza kwita Yelusalemu kufosela Makedonia na Akaya; Akalonga, ''Baada ya kuwako huko, yonipasa kuilola Lumi pia.'' \v 22 Pauli akawatuma Makedonia wanahina wankhe waidi, Timotheo na Elasto, ambao wakala wamemsaidia. Lakini yeye mwenyewe akasigala Asia kwa muda.