doe_act_text_reg/15/13.txt

1 line
216 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 13 Walekile kulonga, Yakobo alijibu akilonga, ''Lumbu nitegeleze. \v 14 Simoni ameelezea jinsi mwanduso Mulungu kwa neema aliwasaidia Mataifa ili kwamba ajipanthile kulawa kumwao wanthu kwa ajili ya zina dyake.