dne_mrk_text_reg/16/01.txt

1 line
301 B
Plaintext

\v 1 Wakati sabato ilipo jhomoka, Mariamu Magdalena na Mariamu mavya jhwake na Yakobo, na Chalome, wakahemite manukato mazuri, ili waweze kuhika na kuupaka mafuta kumwili wa Yesu kwa ajili ya malilo. \v 2 Lukela na mapema siku ya kwanza ya lijuma, wakajhenda kwenye likabure wakati jua lilipo chomoza.