2023-05-18 10:03:19 +00:00
|
|
|
\c 5 \v 1 Tujhohine taarifa kuwa kuna zinaa kumiongoni kwito, aina jha zinaa ambayo ibhing'oo hata mukatikati jha bhando gwa mataifa. Tuna taarifa kwamba jhumonga jhino agolwike na mnkeghe ghwa tate jhake. \v 2 Nanyi mwajisifu! Badala jha kuhuzunika? Jhula akahengite hivyo anapaswa kuondolewa miongoni mwino.
|