dhs_2th_text_reg/03/01.txt

1 line
298 B
Plaintext

\c 3 \v 1 Ndevo, ndugu, tiombeeni kwamba neno ra Bwana rikale kujena na kurora, kana irevo pia kwenyu. \v 2 Ombani kwamba tiweze kuokolewa kuduma katika uovu na atu mahasi kwa kukala se wonde ene imani. \v 3 Lakini Bwana ni mwaminifu ambae asaimarisha imwi nakuwaringa kuduma kwa ora mwovu.