diff --git a/03/29.txt b/03/29.txt new file mode 100644 index 0000000..dc2d1ea --- /dev/null +++ b/03/29.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 29 Yeye aliye na bibi arusi ni bwana harusi. Sasa rafiki wa bwana arusi, asimamaye na kusikiliza hufurahia sana kwa sababu ya sauti ya bwana arusi. Hii sasa ni furaha yangu iliyotimilika. \v 30 Anapaswa kuzidi, nami napaswa kupungua. \ No newline at end of file diff --git a/03/31.txt b/03/31.txt new file mode 100644 index 0000000..0e6bf05 --- /dev/null +++ b/03/31.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 31 Yeye atokaye juu, yu juu ya yote. Yeye aliye wa ulimwengu anatoka ulimwenguni na huongea mambo ya ki ulimwengu. Yeye atokaye mbinguni yuko juu ya yote. \v 32 Yeye hushuhudia yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna apokeaye ushuhuda wake. \v 33 Yeye aliye pokea ushuhuda wake amehakikisha kuwa Mungu ni mkweli. \ No newline at end of file diff --git a/03/34.txt b/03/34.txt new file mode 100644 index 0000000..64d931b --- /dev/null +++ b/03/34.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 34 Kwa sababu yeye aliyetumwa na Mungu huongea maneno ya Mungu. Kwa kuwa hampi Roho kwa kipimo. \v 35 Baba humpenda Mwana na amempa vitu vyote mikononi mwake. \v 36 Yeye amwaminiye Mwana anao uzima wa milele, lakini kwa yeye asiye mtii Mwana hatauona uzima, bali ghadhabu ya Mungu hushikamana juu yake. \ No newline at end of file diff --git a/04/title.txt b/04/title.txt new file mode 100644 index 0000000..f4c7a7a --- /dev/null +++ b/04/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +Sura ya 4 \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 988b546..e190cf0 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -82,6 +82,10 @@ "03-19", "03-22", "03-25", - "03-27" + "03-27", + "03-29", + "03-31", + "03-34", + "04-title" ] } \ No newline at end of file