ndg_1jn_text_reg/03/07.txt

1 line
315 B
Plaintext

\v 7 Bana bapendwa,kana mkubali kupotoshwa na mundu yeyote.Ywapanga haki ni mwene haki,mana yelo Kristo ywembe abile mwenye haki. \v 8 Ywapanga sambi ni ba ibilisi,kwa sababu ibilisi ni mpanga sambi tangu mwanzo.Kwa mana yee Mwana wa Nnongo atidhihirishwa ili aweze kuziharibu ili aweze kuziharibu kazi za ibilisi.