\v 14 Yesu akafika kwa nyumba ya Petro na alikuta mama mkwe na Petro ni mgonjwa wa homa. \v 15 Yesu akamgusa, na homa ikaisha na akaamka na kwanza kumikutukia.